Nasikitika Sana Moyoni Mwangu

[1]
Nasikitika sana moyoni mwangu
Ni nani aliyeniumba mimi? X2

[chorus]
Ni yeye mwenyezi Mungu
Ni Bwana mwenyezi Mungu
Muumba mbingu na ulimwengu X2

[2]
Natangatanga popote duniani
Ni nani aliyeniumba mimi? X2

[chorus]
Ni yeye mwenyezi Mungu
Ni Bwana mwenyezi Mungu
Muumba mbingu na ulimwengu X2

[3]
Watangatanga popote duniani
Ni nani aliyekuumba wewe? X2

[chorus]
Ni yeye mwenyezi Mungu
Ni Bwana mwenyezi Mungu
Muumba mbingu na ulimwengu X2

[4]
Mwili wangu na mafupa yangu yote
Ni nani aliyeniumba hivyo? X2
[chorus]
Ni yeye mwenyezi Mungu
Ni Bwana mwenyezi Mungu
Muumba mbingu na ulimwengu X2

[5]
Mataifa wamchukia Mungu
Ni nani aliyewaumba hivyo? X2
[chorus]
Ni yeye mwenyezi Mungu
Ni Bwana mwenyezi Mungu
Muumba mbingu na ulimwengu X2

[6]
Hata wewe umkatae Mungu
Ni nani aliyekuumba wewe? X2

[chorus]
Ni yeye mwenyezi Mungu
Ni Bwana mwenyezi Mungu
Muumba mbingu na ulimwengu X2