Namdhania Yesu Mwokozi

[1]
Namdhania Yesu mwokozi
Nafanya dhambi ninavyopenda X2

[chorus]
Wanahubiri - watu wa Mungu
Lakini mimi nimejitenga
Najidanganya na ulimwengu
Ambao kesho nitauacha X2

[2]
Shetani naye anakazana
Sababu yake muda mfupi X2

[chorus]
Wanahubiri - watu wa Mungu
Lakini mimi nimejitenga
Najidanganya na ulimwengu
Ambao kesho nitauacha X2

[3]
Wandugu zangu mnaonaje
Hii dunia na raha zake X2

[chorus]
Wanahubiri - watu wa Mungu
Lakini mimi nimejitenga
Najidanganya na ulimwengu
Ambao kesho nitauacha X2

[4]
Muda kidogo tutaonana
Kule mbinguni mbele ya Mungu X2

[chorus]
Wanahubiri - watu wa Mungu
Lakini mimi nimejitenga
Najidanganya na ulimwengu
Ambao kesho nitauacha X2