Mzigo Wa Dhambi

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Mzigo Wa Dhambi

[1]
Mzigo wa dhambi hauwezi kuingia X2

[chorus]
Kweli hauwezi kuingia X2

[2]
Ukiwa msherati hauwezi kuingia X2

[chorus]
Kweli hauwezi kuingia X2

[3]
Ukiwa mwongo hauwezi kuingia X2

[chorus]
Kweli hauwezi kuingia X2

[4]
Ukiwa na Yesu waweza kuingia X2

[chorus 2]Kweli waweza kuingia X2