Mwokozi Wetu Ni Mwamba

[1]
Mwokozi wetu ni mwamba
Nikimbilio la kweli
Halingani na wewe
Nikimbilio la kweli

[chorus]
Oh Yesu ni mwamba huku duniani
Mwamba huku duniani
Mwamba huku duniani
Oh Yesu ni mwamba huku duniani
Nikimbilio la kweli

[2]
Hata mbele ya kaburini
Nikimbilio la kweli
Halingani na wengine
Nikimbilio la kweli

[chorus]
Oh Yesu ni mwamba huku duniani
Mwamba huku duniani
Mwamba huku duniani
Oh Yesu ni mwamba huku duniani
Nikimbilio la kweli

[3]
Alikufa msalabani
Nikimbilio la kweli
Akazikwa kaburini
Nikimbilio la kweli

[chorus]
Oh Yesu ni mwamba huku duniani
Mwamba huku duniani
Mwamba huku duniani
Oh Yesu ni mwamba huku duniani
Nikimbilio la kweli

[4]
Alitoka kaburini
Nikimbilio la kweli
Ameshinda shetani
Nikimbilio la kweli

[chorus]
Oh Yesu ni mwamba huku duniani
Mwamba huku duniani
Mwamba huku duniani
Oh Yesu ni mwamba huku duniani
Nikimbilio la kweli

[5]
Tusiache mwamba wetu
Nikimbilio la kweli
Yesu ndiye mwamba wetu
Nikimbilio la kweli

[chorus]
Oh Yesu ni mwamba huku duniani
Mwamba huku duniani
Mwamba huku duniani
Oh Yesu ni mwamba huku duniani
Nikimbilio la kweli