Mwamini Yesu

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Mwamini Yesu

[1]
Mwamini Yesu ni mwokozi
Aliyeteseka kwako,
Akapigwa misumari
Kwa ajili ya dhambi zetu. [X2]

[chorus]
Leo tunayo furaha
kufufuka kwake Yesu mwokozi
Kumbukumbu hilo Bwana
Ndugu zangu njoo hima.

[2]
Daniel kweli aliwekwa
Kwenye shimo walimo simba
Wala simba hawakumdhuru:
Kwa ajili ya imani. [X2]

[chorus]
Leo tunayo furaha
kufufuka kwake Yesu mwokozi
Kumbukumbu hilo Bwana
Ndugu zangu njoo hima.

[3]
Sasa Yesu ndiye njia
Kwa wachunga wenye imani
Takataka watakwenda, kwenye moto
Usio na mwisho. X2

[chorus]
Leo tunayo furaha
kufufuka kwake Yesu mwokozi
Kumbukumbu hilo Bwana
Ndugu zangu njoo hima.