Msijifadhaishe Mioyo

[1]
Ndugu msijifadhaishe mioyo
Mwaminini mungu baba na nami niaminini. [X2]

[chorus]
Nyumba ya Baba ina makao
Mengi nami singewambia [X2]
Sasa nakwenda (kwa Baba)
Kuandaa (makao) na sisi zote
Tuishi nitarudi niwachukue.

[2]
Huku niendapo mnakujua
Hata ile njia ya kupitia mnaijua. [X2]

[chorus]
Nyumba ya Baba ina makao
Mengi nami singewambia [X2]
Sasa nakwenda (kwa Baba)
Kuandaa (makao) na sisi zote
Tuishi nitarudi niwachukue.

[3]
Mimi ndimi njia na kweli na uzima
Mtu hafiki kwa Baba yangu pasipo mimi. [X2]

[chorus]
Nyumba ya Baba ina makao
Mengi nami singewambia [X2]
Sasa nakwenda (kwa Baba)
Kuandaa (makao) na sisi zote
Tuishi nitarudi niwachukue.