Mle Kaburini

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Mle Kaburini

[1]
MIe kaburini, Yesu Mwokozi!
Alilazwa chini, Bwana wangu!

[Chorus]
Bwana amefufuka! Kifo kimeshindwa kabisa!
Gizani mle alitoka chini, sasa atawala huko mbinguni
Yu hal! Yu hai! Bwana Yesu yu hai!

[2]
Auugoja huo, Yesu Mwokozi!
Mchana ujao, Bwana wangu!

[3]Walinda kaburini, Yesu Mwokozi!
Bure ni muhuri, Bwana wangu!

[4]Kifo kimeshindwa, Yesu Mwokozi!
Pingu zimevunjwa, Bwana wangu!