Milima Na Mabonde

[1]
Kuna milima njiani kuna milima - ooh kuna
Milima njiani ooh milima na mabonde [X2]

[chorus]
Kuna milima njiani kuna milima
kuna milima njiani ooh milima na mabonde

[2]
Uongo pia ni mlima uchawi wote ni mlima
Kuna milima njiani ooh milima na mabonde [X2]

[chorus]
Kuna milima njiani kuna milima
kuna milima njiani ooh milima na mabonde

[3]
Ulafi pia ni mlima uzinzi pia ni mlima
Kuna milima njiani ooh milima na mabonde [X2]

[chorus]
Kuna milima njiani kuna milima
kuna milima njiani ooh milima na mabonde

[4]
Dada yangu kaza mwendo uingie paradiso
Kuna milima njiani ooh milima na mabonde [X2]

[chorus]
Kuna milima njiani kuna milima
kuna milima njiani ooh milima na mabonde

[5]
Ndugu yangu kaza mwendo uingie paradiso
kuna milima njiani ooh milima na mabonde [X2]

[chorus]
Kuna milima njiani kuna milima
kuna milima njiani ooh milima na mabonde