Meza Ya Bwana

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Meza Ya Bwana

[1]
Kila jumapili tukumbuke
Kila jumapili tukumbuke

[chorus]
Bwana alivyosema tukumbuke
Bwana alivyosema tukumbuke
Kumbuka kumbuka tukumbuke [X2]

[2]
Tule mwili wa Yesu tukumbuke
Tule mwili wa Yesu tukumbuke

[chorus]
Bwana alivyosema tukumbuke
Bwana alivyosema tukumbuke
Kumbuka kumbuka tukumbuke [X2]

[3]
Tunywe damu ya Kristo tukumbuke
Tunywe damu ya kristo tukumbuke

[chorus]
Bwana alivyosema tukumbuke
Bwana alivyosema tukumbuke
Kumbuka kumbuka tukumbuke [X2]

[4]
Twende kanisa la Kristo tukumbuke
Twende kanisa la Kristo tukumbuke
[chorus]
Bwana alivyosema tukumbuke
Bwana alivyosema tukumbuke
Kumbuka kumbuka tukumbuke [X2]

[5]

Tusome injili ya Yesu tukumbuke
Tusome injili ya Yesu tukumbuke

[chorus]
Bwana alivyosema tukumbuke
Bwana alivyosema tukumbuke
Kumbuka kumbuka tukumbuke [X2]