MBINGUNI KWA MUNGU

[1]
Mbinguni kwa Mungu kule makao ni mengi
Sauti yaita mlango uwazi Mbinguni.

Wewe mwenye mizigo mpe Bwana Yesu
Kama unajificha ole, ole wako ndugu
Matendo uiliyo nayo, yamuudhi Bwana Yesu.

[2]
Yesu ni wa usalama hataki tukateseke,
Motoni kwake Shetani tukaone raha isiyo na mwisho.

[3]
Yeye ni wa mataifa yote yanayomtafuta
Pande zote za dunia yatapata taji isiyo na mwisho.