MAUTI IMEKUKARIBIA

1) Mauti imekukaribia, mauti imekukaribia.

Jirekebishe sasa maisha yako,
Yatengeneze sasa maisha yako,
Inakutafuta - Mauti mauti
Inakufuata - Mauti, mauti
Inakutamani - Mauti
Ikuangamize.

[2]
Kata shauri ukaokoke, kata shauri ukaokoke.

[3]
Usipojali shauri yako, usipojali shauri yako.