Mataifa Watakusanyana

[1]
Mataifa watakusanyana
Mbele zake Yesu mwokozi X2

[chorus]
Itika - Yesu wangu X2
Taja - Yesu
Tamka - Yesu wangu

[2]
Nikilio kwa wale wote
Wa mkono wake wa kushoto X2

[chorus]
Itika - Yesu wangu X2
Taja - Yesu
Tamka - Yesu wangu

[3]
Aliahidi kuwalinda
Watakatifu mpaka siku hiyo X2

[chorus]
Itika - Yesu wangu X2
Taja - Yesu
Tamka - Yesu wangu

[4]
Atahukumu kila mmoja
Kulingana na matendo yake X2

[chorus]
Itika - Yesu wangu X2
Taja - Yesu
Tamka - Yesu wangu