Kwa Kalvari

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Kwa Kalvari

[1]
Muda mwingi nilipotea
Sikufahamu msalaba
Wala aliyenifilia
Kwa kalvari

[chorus]
Rehema bure na neema
Samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifungua
Kwa kalvari

[2]
Kwa neno lake Bwana Mungu
Nilijiona mimi mwovu
Nikageuka na kutubu
Kwa kalvari

[chorus]
Rehema bure na neema
Samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifungua
Kwa kalvari

[3]
Yote kwa Yesu namtolea
Ndiye mfalme wa pekee sasa
Kwafuraha nitamwambia
Kwa kalvari

[chorus]
Rehema bure na neema
Samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifungua
Kwa kalvari

[4]
Jinsi pendo lilivyo kuu
Neema ilshushwa toka juu
Alitufanyia wokovu
Kwa kalvari

[chorus]
Rehema bure na neema
Samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifungua
Kwa kalvari