Kutimiza Ahadi

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Kutimiza Ahadi

[1]
Utukufu Ulionipa baba
Nimewapa hawa ulionipa. X2

[chorus]
Ili wawe na umoja na Baba
(Ewe Baba)
Kama sisi tulivyo na umoja
(Ewe Baba)
Nataka nilipo nao wawepo
(Mungu wangu)
Wautazame Utukufu wangu.X2

[2]
Kuna watu ninaowaombea
Na wengine wanaoniamini.X2

[chorus]
Ili wawe na umoja na Baba
(Ewe Baba)
Kama sisi tulivyo na umoja
(Ewe Baba)
Nataka nilipo nao wawepo
(Mungu wangu)
Wautazame Utukufu wangu.X2