KATIKA MAISHA YAKO

[1]
Katika maisha yako, nini ulilofanya?
La kumpendeza Mungu ndugu yangu jiulize.

[chorus]
Saa, saa, saa,saa, saa yako yakaribia
Ndugu yangu jihadhari.

[2]
Jihadhari sana ndugu na mambo ya dunia
Siku moja yatakwisha ndugu yangu jihadhari.

[3]
Utazame ulimwengu, jinsi unavyokwenda,
Ndiyo itakavyokuwa siku zako za karibia.