Karibu Rafiki Kwa Yesu

[1]
Karibu rafiki kwa Yesu, uokolewe
Yeye alimaliza yote msalabani

[Chorus]
Njia iko tayari
leo kama wataka maisha
Ya kweli. Nawe utauona Ufalme wake.

[2]
Ewe ndugu unaonaje? Yesu akwita
Usiwe na moyo mgumu kumpokea

[Chorus]
Njia iko tayari
leo kama wataka maisha
Ya kweli. Nawe utauona Ufalme wake.

[3]
Sasa Baba tunakuomba utusaidie
Twakwimbia kwa furaha ulimwenguni

[Chorus]
Njia iko tayari
leo kama wataka maisha
Ya kweli. Nawe utauona Ufalme wake.