KANISA LAKE

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

KANISA LAKE

[1]
Kanisa lake Yesu alileta nani?
Kanisa lake Yesu alileta mwenyewe.

[chorus]
Mwenyewe x4
Yesu, alileta mwenyewe. x2

[2]
Kanisa lake Mungu alileta nani?
Kanisa lake Mungu alileta mwenyewe.

[3]
Kanisa lake Bwana alileta nani?
Kanisa lake Bwana alileta mwenyewe.