Atakuja, Atakuja

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Atakuja, Atakuja

[1]
Atasanya, Atasanya
Vito vikusanywe
Vito vyote vya dhamani
Wapenzi wake

[Chorus]
Kama nyota za mbingu
Wataang'ara kwa Mungu
Wapenzi ni watoto
Kwa taji yake

[2]
Atachanga, atachanga
Vito kwa ufalme
Vito vyote vya dhamani
Wapenzi wake

[Chorus]
Kama nyota za mbingu
Wataang'ara kwa Mungu
Wapenzi ni watoto
Kwa taji yake

[3]
Ni watoto, ni watoto
Waitwao vito
Ni vito vya Yesu Kristo
Wapenzi wake[Chorus]
Kama nyota za mbingu
Wataang'ara kwa Mungu
Wapenzi ni watoto
Kwa taji yake