UNIANGALIE

Language: Swahili
Nyimbo Za Kikristo

UNIANGALIE

[1]
Uniangalie atwambia, Yesu aliyetufia;
Msalabani ni uzima, Hapa utaipata hazina.

Chorus
Kutazama Kalvari, Kutazama Kalvari,
Ni kupewa kuishi Kuutazama mti wa Kalvari.

[2]
Ninapojaribiwa ghafula, Shetani hatanitega;
Nikitazama msalaba, Nguvu nitaipata kwa Bwana.

[3]
Msalaba nitautazama Kila wakati daima,
Ahadi nitategemea, Hivi kabisa sitaanguka

12[3]