NINAYE RAFIKI

Language: Swahili
Nyimbo Za Kikristo

NINAYE RAFIKI

[1]
Ninaye rafiki naye Alinipenda mbele;
Kwa kamba za pendo lake Nimefungwa milele.
Aukaza moyo wangu, Uache ugeuzi,
Ninakaa ndani yake, Yeye Kwangu, milele.

[2]
Ninaye Rafiki ndiye, Aliyenifilia;
Alimwaga damu yake, Kwa watu wote pia.
Sina kitu mimi tena, Nikiwa navyo tele,
Pia vyote ni amana, Ndimi wake milele.

[3]
Ninaye Rafiki naye, Uwezo amepewa;
Atanilinda mwenyewe, Juu `tachukuliwa;
Nikitazama mbinguni, Hupata nguvu tele;
Sasa natumika chini, Kisha juu milele.

[4]
Ninaye Rafiki naye, Yuna na moyo mwema;
Ni Mwalimu, Kiongozi, Mlinzi wa daima;
Ni nani wa kunitenga, Na mpenzi wa mbele?
Kwake nimetia nanga, ndimi wake milele.

04[9]

Most Liked Songs
song image
1. KRISTO WA NEEMA YOTE

Nyimbo Za Kikristo

song image
2. YESU UNIPENDAYE

Nyimbo Za Kikristo

song image
3. JINA LA YESU SALAMU

Nyimbo Za Kikristo

song image
4. KWA MAOMBI NACHANGAMKA

Nyimbo Za Kikristo

song image
5. KARIBU NA WEWE, MUNGU WANGU

Nyimbo Za Kikristo

song image
6. AHADI TAMU

Nyimbo Za Kikristo

song image
7. TARUMBETA YA MWANA

Nyimbo Za Kikristo

song image
8. KAA NAMI

Nyimbo Za Kikristo

song image
9. ALILIPA BEI

Nyimbo Za Kikristo

song image
10. PANA MAHALI PAZURI MNO

Nyimbo Za Kikristo

song image
11. TWAPANDA MAPEMA

Nyimbo Za Kikristo

song image
12. JINA LAKE YESU TAMU

Nyimbo Za Kikristo

song image
13. NATAKA NIMJUE YESU

Nyimbo Za Kikristo

song image
14. U MWENDO GANI NYUMBANI

Nyimbo Za Kikristo

song image
15. ROHO MTAKATIFU

Nyimbo Za Kikristo

song image
16. NINAYE RAFIKI

Nyimbo Za Kikristo

song image
17. KUMTEGEMEA MWOKOZI

Nyimbo Za Kikristo

song image
18. ANAKUJA UPESI

Nyimbo Za Kikristo

song image
19. TANGU KUAMINI

Nyimbo Za Kikristo

song image
20. HUNIONGOZA MWOKOZI

Nyimbo Za Kikristo

song image
21. USINIPITE MWOKOZI

Nyimbo Za Kikristo

song image
22. SAUTI NI YAKE BWANA

Nyimbo Za Kikristo

song image
23. MIGUUNI PAKE YESU

Nyimbo Za Kikristo

song image
24. YESU KWA IMANI

Nyimbo Za Kikristo

song image
25. MUNGU ATUKUZWE

Nyimbo Za Kikristo

song image
26. KAZI YANGU IKIISHA

Nyimbo Za Kikristo

song image
27. YANIPASA KUWA NAYE

Nyimbo Za Kikristo

song image
28. NIPE BIBLIA

Nyimbo Za Kikristo

song image
29. UMECHOKA, JE UMESUMBUKA

Nyimbo Za Kikristo

song image
30. SIOSHWI DHAMBI ZANGU

Nyimbo Za Kikristo