JINA LAKE YESU TAMU

[1]
Jina lake Yesu tamu Tukilisikia,
Hutupoza, tena hamu Hutuondolea,

[2]
Roho iliyo umia kwalom hutibika,
Chakula, njaani pia; Raha, tukichoka.

[3]
Jina hili nimsingi, Ngao, Ngoma,
Mwamba, Kwa hili napata ungi, kwangu ni akiba.

[4]
Yesu, Mchunga, Rafiki, Mwalimu,
Kuhani, Mwanzo, Mwisho, na Amana, Mali yangu yote!

[5]
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli;
Ila sifa zangu hizi, Bwana, zikubali.

02[4]