TWAPANDA MAPEMA

[1]
Twapanda mapema na mchana kutwa
Mbegu za fadhili hata jioni
Twangojea sasa siku za kuvuna;
Tutashangilia wenye mavuno.

Wenye mavuno wenye mavuno,
Tutasha ngilia wenye mavuno;
Wenye mavuno wenye mavuno,
Tutasha ngilia wenye mavuno.

[2]
Twapanda mwangani na kwenye kivuli
Tusishindwe na baridi na pepo
Punde itaisha kazi yetu hapa
Tutashangilia wenye mavuno.

[3]
Twapana kwa Bwana mbegu kila siku.
Tujapoona taabu nahuzuni;
Tuishapo shinda atatupokea:
Tutashangilia wenye mavuno.

05[5]

Most Liked Songs
song image
1. KRISTO WA NEEMA YOTE

Nyimbo Za Kikristo

song image
2. JINA LA YESU SALAMU

Nyimbo Za Kikristo

song image
3. KWA MAOMBI NACHANGAMKA

Nyimbo Za Kikristo

song image
4. YESU UNIPENDAYE

Nyimbo Za Kikristo

song image
5. KARIBU NA WEWE, MUNGU WANGU

Nyimbo Za Kikristo

song image
6. AHADI TAMU

Nyimbo Za Kikristo

song image
7. KAA NAMI

Nyimbo Za Kikristo

song image
8. TARUMBETA YA MWANA

Nyimbo Za Kikristo

song image
9. TWAPANDA MAPEMA

Nyimbo Za Kikristo

song image
10. ALILIPA BEI

Nyimbo Za Kikristo

song image
11. ROHO MTAKATIFU

Nyimbo Za Kikristo

song image
12. KUMTEGEMEA MWOKOZI

Nyimbo Za Kikristo

song image
13. NATAKA NIMJUE YESU

Nyimbo Za Kikristo

song image
14. ANAKUJA UPESI

Nyimbo Za Kikristo

song image
15. PANA MAHALI PAZURI MNO

Nyimbo Za Kikristo

song image
16. JINA LAKE YESU TAMU

Nyimbo Za Kikristo

song image
17. U MWENDO GANI NYUMBANI

Nyimbo Za Kikristo

song image
18. NINAYE RAFIKI

Nyimbo Za Kikristo

song image
19. HUNIONGOZA MWOKOZI

Nyimbo Za Kikristo

song image
20. USINIPITE MWOKOZI

Nyimbo Za Kikristo

song image
21. SAUTI NI YAKE BWANA

Nyimbo Za Kikristo

song image
22. TANGU KUAMINI

Nyimbo Za Kikristo

song image
23. MIGUUNI PAKE YESU

Nyimbo Za Kikristo

song image
24. YESU KWA IMANI

Nyimbo Za Kikristo

song image
25. MUNGU ATUKUZWE

Nyimbo Za Kikristo

song image
26. SAA HERI YA SALA

Nyimbo Za Kikristo

song image
27. YANIPASA KUWA NAYE

Nyimbo Za Kikristo

song image
28. NIIMBE PENDO LAKE

Nyimbo Za Kikristo

song image
29. SIOSHWI DHAMBI ZANGU

Nyimbo Za Kikristo

song image
30. KAZI YANGU IKIISHA

Nyimbo Za Kikristo