TWENDE KWA YESU

[1]
Twende kwa Yesu mimi nawe, Njia atwonya tuijue
Imo Chuoni na mwenyewe, Hapa asema, njoo!

Chorus
Na furaha tutaiyona, Mioyo ikitakata sana,
Kwako Mwokozi kuonana, Na milele kukaa.

[2]
‘Wana na waje,‘ atwambia, Furahini kwa kusikia;
Ndiye Mwokozi wetu hasa, Na tumtii, njoni.

[3]
Wangojeani? Leo yupo; Sikiza sana asemapo;
Huruma zake zitwitapo, Ewe kijana, njoo.

09[9]