TUTOKAPO TUBARIKI

[1]
Tutakapo tubariki , Utupe kufurahi;
Tuwe na upendo wako, Neema ya kushinda.
Nawe utuburudishe Tukisafiri chini.

[2]
Twatoa sifa, shukrani kwa neno la Injili;
Matunda yake wokovu, Yaonekane kwetu;
Daima tuwe amani Kwakweli yako, Bwana.

[3]
Siku zetu zikizidi Tuwe kwa yesu;
Tuwe na nguvu moyoni Tusichoke njiani ;
Hata tutakapoona Utukufu wa Bwana.

02[6]