TUPE AMANI

Language: Swahili
Nyimbo Za Kikristo

TUPE AMANI

[1]
Mungu mtukufu Aliyeumba Pepo kuvuma Na radi kali;
Toa neema unapotawala, Tupe amni, Bwana wa wema.

[2]
Mungu wa neema, Nchi imeacha Amri tukufu Na Neno
Lako; Hasira zoko Zitaharibu, , Tupe amni, Bwana wa wema.

[3]
Mwumbaji wa haki, Watu wabaya Wamedharau Utukufu
Wako; Lakini wema wako utadumu; Endesha wema Bwana wa wema.

[4]
Tunakutolea Ibada safi Kwa ajili ya Wokovu wako;
Hivi tunaziimba sifa zako; Wako uwezo na utukufu.

026(2)