NJIANI HUNIONGOZA

[1]
Njiani huniongoza Yesu wangu, Mwokozi:
Rehema hatapunguza, Milele Kiongozi.
Ina raha kwandamana Duniani daima:
Nijaposumbuka sana, yeye hutenda vyema.

[2]
Njiani huniongoza Hupunguza matata;
Nikiungua hupoza. Na njaani nashiba.
Lichokapo guu langu Nguvu zikapungua.
Jiwe lilo mbele yangu hunibubujika.

[3]
Njiani huniongoza Kwa pendo zilizo kuu,
Mwisho atanituliza Kwake Baba yangu juu,
Nikivikwa kutokufa, Nikae na Mwokozi,
Nitamsifu sana; sifa: ‘ Kweli ni Kiongozi.‘

15[5]

Most Liked Songs
song image
1. KRISTO WA NEEMA YOTE

Nyimbo Za Kikristo

song image
2. JINA LA YESU SALAMU

Nyimbo Za Kikristo

song image
3. YESU UNIPENDAYE

Nyimbo Za Kikristo

song image
4. KWA MAOMBI NACHANGAMKA

Nyimbo Za Kikristo

song image
5. KARIBU NA WEWE, MUNGU WANGU

Nyimbo Za Kikristo

song image
6. AHADI TAMU

Nyimbo Za Kikristo

song image
7. KAA NAMI

Nyimbo Za Kikristo

song image
8. TARUMBETA YA MWANA

Nyimbo Za Kikristo

song image
9. ALILIPA BEI

Nyimbo Za Kikristo

song image
10. TWAPANDA MAPEMA

Nyimbo Za Kikristo

song image
11. ROHO MTAKATIFU

Nyimbo Za Kikristo

song image
12. KUMTEGEMEA MWOKOZI

Nyimbo Za Kikristo

song image
13. NATAKA NIMJUE YESU

Nyimbo Za Kikristo

song image
14. PANA MAHALI PAZURI MNO

Nyimbo Za Kikristo

song image
15. ANAKUJA UPESI

Nyimbo Za Kikristo

song image
16. U MWENDO GANI NYUMBANI

Nyimbo Za Kikristo

song image
17. JINA LAKE YESU TAMU

Nyimbo Za Kikristo

song image
18. NINAYE RAFIKI

Nyimbo Za Kikristo

song image
19. HUNIONGOZA MWOKOZI

Nyimbo Za Kikristo

song image
20. SAUTI NI YAKE BWANA

Nyimbo Za Kikristo

song image
21. USINIPITE MWOKOZI

Nyimbo Za Kikristo

song image
22. TANGU KUAMINI

Nyimbo Za Kikristo

song image
23. MIGUUNI PAKE YESU

Nyimbo Za Kikristo

song image
24. YESU KWA IMANI

Nyimbo Za Kikristo

song image
25. MUNGU ATUKUZWE

Nyimbo Za Kikristo

song image
26. KAZI YANGU IKIISHA

Nyimbo Za Kikristo

song image
27. NIIMBE PENDO LAKE

Nyimbo Za Kikristo

song image
28. SAA HERI YA SALA

Nyimbo Za Kikristo

song image
29. YANIPASA KUWA NAYE

Nyimbo Za Kikristo

song image
30. SIOSHWI DHAMBI ZANGU

Nyimbo Za Kikristo