NIWE NAO UZURI WA MWOKOZI

[1]
Niwe nao uzuri wa Mwokozi,
Nazo huruma Zake na usafi,
Roho Mtakatifu anibadilishe,
Aonekane Yesu ndani yangu.

21[3]