NIWE KAMA YESU

[1]
Unifundishe, Baba; Ile njia ya sala;
Uniendeshe sana, Niwe kama Yesu.

Chorus
Niwe kama Yesu, Niwe kama Yesu,
Uniongoze, Baba; Niwe kama Yesu,

[2]
Unipe pendo, Baba, Watu kuwaokoa;
Nyumbani na mjini, Niwe kama Yesu.

[3]
Na unifahamishe, Wakati ndio mfupi;
Unibidishe, Bwana, Niwe kama Yesu

13[6]