MUNGU AFANYA UPINDE

[1]
Nani afanya upindi,
Namjua, namjua
Mungu afanya upindi
Nampenda kwa hiyo.

[2]
Mungu atuma upindi
Ni bora mweupe,
Mungu atuma upindi,
Kwamba yu karibu.

20[8]