KUWATAFUTA WASIOWEZA

[1]
Kuwatafuta wasioweza, Kuomba wamrejee Yesu,
Kuwaambia maneno yake, ‘Njooni kwangu, nawapenda‘.

Chorus
Nitakwenda (Nitakwenda) niwatafute
Wapotevu (wapotevu) wageuke,
Waingie (Waingie) Katika zizi
La Mwokozi (La Mwokozi) Yesu Kristo

[2]
Kuwatafuta wasioweza, Waonyeshwe Mwokozi wetu;
Kuwaongoza, wapate wote uzima ule wa milele.

[3]
Kazi hiyo nataka kufanya, Leo nimesikia mwito;
Kuwainua waangukao, waletwe kwake yesu Njia.

100