KUMEKUCHA KWA UZURI

[1]
Kumekucha kwa uzuri. Nafumbua macho;
Baba amenihifadhi, Ni wake moto.

[2]
Bwana niwe leo kutwa Ulinzini mwako;
Nisamehe dhambi, niwe Mikononi mwako.

[3]
Roho wako anikae moyoni daima;
Anitakase, nione Uso wako.

00[6]