JINA LA BWANA LI HERI

[1]
Sauti zote ziimbe, jina la Yesu li heri !
Sifa za mfalme Mungu, jina la Yesu li heri !

Chorus
Jina li heri, jina li heri, jina la Yesu li heri.
Jina li heri, jina li heri, jina la Yesu li heri

[2]
Hofu zote la tuliza, jina la Yesu li heri !
Mwenye dhambi hukubali, jina la Yesu li heri.

[3]
Huvunja nguvu za dhambi, jina la Yesu li heri.
Damu yake hutakasa, jina la Yesu li heri.

[4]
Sauti yake ni tamu, jina la Yesu li heri.
Wakaburini husikia, jina la Yesu li heri.

[5]
Lugha maelf(u) zitaimba, jina la Yesu li heri.
Astahili Mwana-Kondoo, jina la Yesu li heri.

01[1]