Yesu?

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

Yesu?

[1]
Wamwendea Yesu kwa kusafiwa. Kuoshwa kwa damu ya kondoo?
Je, neema yake yatumwagiwa? Waoshwa kwa damu ya Kondoo?

Kuoshwa, kwa damu Itutakasayo ya Kondoo?
Ziwe safi nguo nyeupe sana; waoshwa kwa damu ya Kondoo.

[2]
Wamwandana daima Mkombozi.Waoshwa kwa damu ya Kondoo?
Yako kwa Msulubiwa mavazi? Waoshwa kwa. Damu ya Kondoo?

[3]
Atakapokuja Bwana-arusi Uwe safi katika damu!
Yafae kwenda Mbinguni mavazi: Yaoshwa kwa damu ya kondoo?

[4]
Yatupwe Yalipo na takataka; Uoshawe kwa damu ya Kondoo:
Huoni kijito chatiririka Uoshwe kwa damu ya Kondoo?