aamini

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

aamini

[1]
Baba sina msaada ila kwako pekee;
Kama kwangu ungefichwa, Nifanyeji, Baba?

Sasa hivi naamini Yesu alikufa,
Aliimwaga damu yake, Nitoke dhambini.

[2]
Naamini mwana wako Nipe nguvu zako;
Nijazie mahitaji, katika saa hii.

[3]
Nifuraha gani kwangu kukuona uso!
Nijue sauti yako, Nipate neema.