yangu yote, Bwana

[1]
Raha yangu yote, Bwana, imbavuni pako;
Mimi sina haja tena ila kifo chako.

[2]
Mwokozi uliyekufa, nawe ndiwe Mungu,
Kifo chako ni mwako liwe fungu langu.

[3]
Nioshe na niwe wako,nawe uwe wangu;
Nioshe damini mwako liwe fungu langu.

[4]
Nioshe si miguu tu, osha tangu nyayo,
Hata kichwa changu juu, na ndani ya moyo,

[5]
Na iwe kafara damu nifanypo kazi,
Hata imani itimu, nikwone, Mwokozi.