ya mchungaji

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

ya mchungaji

[1]
Sauti ya Mchungaji, ninasikia jangwani,
Kondoo waliopotea anawaita warudi.

Leteni, leteni, leteni toka dhambini;
Leteni, leteni, waleteni kwa Yesu.

[2]
Nani atakeyekwenda amsaidie Mchungaji,
Awarudishe zizini, wasife bure gizani?

[3]
Usikose kusikia sauti ya Mchungaji,
“Kondoo waliopotea nenda na kuwatafuta.”