wa mbinguni

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

wa mbinguni

[1]
Mkate wa mbinguni mega kwetu;
Ulivyotoa kwa thenashara.
Katika kitabu, twakuona.
Moyo unatweta kukutana.

[2]
Neno la kweli, libariki;
Tusikie mwito wa upole.
Vizuizi vyote vitakoma,
Tena tutapata uungwana.

[3]
Uzima na nguvu, utanena;
Nakimbiliza tu kufuata.
Lakini mnyonge ndiye mimi:
Naye Mshindaji ndiye wewe!