Wa Bwana

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

Wa Bwana

[1]
Wapenzi wa Bwana ije raha yenu!
Imbeni nyimbo za raha, Imbeni nyimbo a raha:
Za ibada yenu. Za ibada yenu.

Twenenda zayuni, mji mzuri zayuni!
Twenenda juu zayuni,
Ni maskani ya Mungu.

[2]
Wasiimbe wao wasioamini,
Watoto Mungu ndio, watoto wa Mungu ndio
Waimbao chini, waimbao chini

[3]
Twaona rohoni baraka za Mungu
Tusijafika mbinguni, tusijafika mbinguni
Kwenye utukufu, kwenye utukufu.

[4]
Tutakapomwona masumbuko basi.
Huwa maji ya uzima. Huwa maji ya uzima.
Anasa halisi. Anasa halisi.