vya thamani

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

vya thamani

[1]
Kitambo Bwana yuaja, atafute kote
Vito vya thamani kubwa: mali yake kuu.

Kama nyota tajini vitang‘aa sana,
Vito vizuri kweli vyenye thamani.

[2]
Karibu atakusanya vito kwa ufalme,
Vizuri vinavyong‘aa: mali yake kuu.

[3]
Watoto wote wadogo wampendao Yesu,
Ndiyo vito ving‘aavyo: mali yake kuu,