uwatafuta

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

uwatafuta

[1]
Kuwatafuta wasioweza, kuomba wamrejee Yesu,
Kuwaambia maneno yake “Njooni kwangu, nawapenda.”

Nitakwenda (Nitakwenda) niwatafute wapotevu (Wapotevu) wageuke,
Waingie (Waingie) katika zizi la Mwokozi (la mwokozi) Yesu Kristo.

[2]
Kuwatafuta wasioweza, waonyeshwe Mwokozi wetu,
Kuwaongoza, wapate wote uzima ule milele.

[3]
Kazi hiyo nataka kufanya, leo nimesikia mwito
Kuwainua waangukao, waletwe kwake Yesu Njia.