upya

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

upya

[1]
Mimina upya nguvu kutoka juu;
Tupe pendo lako ewe Mwokozi.

Twakusihi sana Yesu Mwokozi,
Tubatize upya, kwa Roho leo.

[2]
Kwako twalia, wenye maovu,
Osha moyo wetu, ututakase.

[3]
kipaji cha juu, kitume kwetu,
Tubariki sasa, utufariji.

[4]
Isikilize, kwa moyo wazi,
Sauti ya Roho; ubarikiwe.