Tena

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

Tena

[1]
Tuonanapo na rafiki sote twafurahi,
Ila tumepaswa mwishowe kuagana tena.

Hatutaagana tena nyumbani mbinguni,
Kwenye nchi tamu juu, Hatutaagana.

[2]
Twatumaini kwa furaha tutaonana juu
Na rafiki tulioaga tuishapo shida.

[3]
Kule hatutatamka kamwe neno la kuaga,
Tutaimba daima tena nyimbo za furaha.