sana Macho

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

sana Macho

[1]
Nilinawa mikono safi asubuhi,
Itende kazi kutwa kwa Yesu Mwokozi.

Kaza sana macho njiani kote,
Utende kwa Yesu kazi njema tu.

[2]
Natega masikio nitambue wasaa,
Mikono na itende upole daima.

[3]
Macho yangu yachunga mikono kazini;
Ilindwe maovuni impendeze Yesu.