Saa

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

Saa

[1]
Hatujui sa-a ya kuja kwwa Bwana, Lakini dakiki zasema karibu
Atakporudi,--lakini kwa kweli Hatujui sa-a.

Atakuja, kwa vile tukeshe;
Atakuja Mwokozi, Aleluya!
Atakuja kwa fahari yu Baba yake,--
Hatujui sa-a.

[2]
Pana nuru kwao wapendao haki, pana kweli katika chuo cha Mungu;
Unabii hufundisha kuja kwake,--Hatujui saa.

[3]
Tutakesha na tutaomba daima, Tutafanya kazi mpaka akija,
Tutaimba na tutasoma ishara,--Hatujui saa.