Panda

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

Panda

[1]
Piga panda na ya makelele; Yesu yuaja tena!
Ipate sauti, imba sana; Yesu yuaja tena!

Anakuja, anakuja; Yesu yuaja tena!

[2]
Itoe mwangi sana vilima; Yesu yuaja tena!
Yuaja kwa utukufu mwingi, Yesu yuaja tena!

[3]
Itangazwe mahali po pote; Yesu yuaja tena!
Mwokozi aliye tufilia, Yesu yuaja tena!

[4]
Kuona machafuko twajua Yesu yuaja tena!
Mataifa ya kasiriana, Yesu yuaja tena!

[5]
Maradhi, hofu hutuhubiri Yesu yuaja tena!
Taabu, njaa hutulilia Yesu yuaja tena!