ni furaha

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

ni furaha

[1]
Upendo ni furaha, ni kweli desturi
Yake kuzisahihisha njia zetu zote.

Yu pendo: tu watoto wake.
Yu pendo, Mwana wa Mungu!
Na sisi tupendane kama Baba Mungu.
Amri yake ndiyo hii, kupendana sana.

[2]
Duniani huzuni, ugonjwa, mauti,
Kwa pendo tuwafariji wenye mahitaji.

[3]
Na atakapokuja kutuchukua juu,
Tutaimbia milele pendo lake Yesu.