Nataka Kutakaswa Sana

[1]
Yesu Mwokozi Ili nitakaswe, nataka mouo uwe enzi Yako.
Ukiangushe kilichoinuka unioshe sasa niwe mweupe.

Mweupe tu, ndiyo mweupe,
Ukiniosha nitakuwa safi.

[2]
Bwana Yesu sasa unitazame, unifanye niwe dhabihu hai.”
Najitoa kwako, na moyo, vyote; unioshe sana niwe mweupe.

[3]
Bwana kwa hiyo nakuomba sana, nakuongojea miguuni pako,
Wanaokuja hutupi kamwe, unioshe sasa niwe mweupe.