Kitu Kwa Yesu?

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

Kitu Kwa Yesu?

[1]
Ukitafuta mali, Huna wasaa kwa Yesu?
Kwa matendo ya haki Huna wasaa kwa Yesu?
Ansa za kunia, Mambo yako ya raha
Haya unatafuta; Huna wasaa kwa yesu?

[2]
Mambo yanakusonga: Kwake huna nafasi?
Watekwa na dunia, Kwake huna nafasi?
Humwani m-langoni, Anapopiga hodi?
Daima hukusihi: Kwake huna nafasi?

[3]
Sa-a ni za thamani, Kwake huna nafasi?
Wala hamfnyi bidii, Kwake hamnayo kazi?
Hamkufika kwao Waliomo shimoni
Na waliopotea? Kwake hamnayo kazi?