Kaombeni

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

Kaombeni

[1]
Kesha ukaombe panapo mafasi; Wakati si mwingi. Kwa vile ukeshe
Mwili ni dhaifu. Adui hodari karibu atakuja, Bwana wa arusi.

Kesha, Omba, Kesha, Omba,
Kesha Kaombe gizani, mchana,
Daima kesha.

[2]
Fukuza usingizi, fukuza mashaka; Ahadi ni yako, raha ya milele
Bwana alkesha kwa ajili yako; Jasho yeke ikawa matone ya damu.

[3]
Yesu umkubali awe nguvu zako; silaha uzivae; adui karibu.
Sasa nafasi iko, isipite bure; Bila kukawia masihiya kesha.