Kama Yesu

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

Kama Yesu

[1]
Unifundishe, Baba; Ile njia ya sala;
Uniendeshe sana, Niwe kama Yesu.

Niwe kama Yesu,Niwe kama Yesu,
Uniongoze, Baba; Niwe kama Yesu.

[2]
Unipe pendo, Baba, Watu kuwaokoa;
Nyumbani na mjini. Niwe kama Yesu.

[3]
Na unifahamishe, Wakati ndio mfupi;
Unibidishe, bwana,Niwe kama Yesu.